Msalaba ni Upatanisho,Upendo na Ukombozi. Haya yote yamebebwa na mbeba
Msalaba Yesu Kristo Bwana WETU. Yesu ni kiungo mhimu kwa maisha ya kila
mwanadamu kwani ndiye aliyejitoa kufanya tusogee miguuni pa Mungu kwani
hatukustahili kwa kuwa tulitenda dhambi. Hivyo kwa kupigwa kwake
tunasema tumepona,huruma ya Mungu kwa wanadamu ni kubwa sana kwani
jehanamu haikuubwa kwa ajili ya Mwanadamu ni kwa ajili ya Shetani ila
kwa kukosa kutii kwetu adhabu hii tnashiriki ila ukiamua kumpa maisha
yako una kuwa huru na ghadhabu yake. Mungu kumtoa mwanae pekee ni kwa
ajili yangu na yako hivyo tukubali kuifuata Neema hii.
Msalaba ni nini?
Reviewed by Unknown
on
14:26:00
Rating: 5
No comments