Rejoice Choir TAG Shinyanga
Ile choir maalufa katika mji wa Shinyanga imekamilisha kurekodi video
yao toleo la pili liitwalo Watumishi. Katika hatua za awali kabisa kazi
hii imeenda sasa na mipango endelevu ya kwaya hiyo ktk kumtumikia Mungu
kwa njia ya uimbaji. Kwa upande wa kampuni iliyohusika kurekodi ambayo
ni Msalaba MEDIA walipohojiwa na www.absonmhanje.blogspot.com wamesema
maandalizi ya ya kurekodi albumu hiyo mhimu yalikuwa sawa hivyo wadau
na wapenzi wa muziki wa injili Tanzani wategemee kupata video yenye
ubora wa hali ya juu. Kwani wanasema Msalaba MEDIA daima ni Standard
Quality Excellence hawakuishia hapo nwakasema kazi uliyoiona jana ni
tofauti na ya kesho kwani wanaamini katika Forward We Go
No comments