Breaking News

Neema Nsekela amaliza kurekodi video ya albumu yake iitwayo Niombeje Nipate Kibali

Neema Nsekela amaliza kurekodi video ya albumu yake iitwayo Niombeje Nipate Kibali

Hapa chini ni picha za video nikiwa location. Kwa hakika nataka kusema kwamba Mungu wema na Upendo wake kwa wanadamu ni wa kipekee sana. Uwepo wake upo mahali popote pale ilimradi tu ujiachilie kwako na yule msaidizi wetu yaani Roho Mtakatifu anakuhudumia.






Picha hizi ni za wimbo wa album uitwao Niombeje Nipiate Kibali. Wimbo huu nikiuimba hunipa kutafakari mengi sana kuhusu wema wa Mungu kwangu na kwako pia.



Kwa hakika mpenda wangu napenda kusema ipo nguvu ya pekee kukaa miguuni kwa Mungu kwani atakufundisha na darasa lake ni la pekee. Kwa kuwa roho mtakatifu ndiye kiongozi wa kwanza . Viongozi wote chini ya jua kuna kiongozi mkuu ambaye ni Kristo Yesu  chini ya uongozi wake hakuna Majuto wala lawama ebu mpendwa wangu tuwe chini ya huyu kiongozi.

No comments