Nabii Okoa Gamba
Nabii Okoa Gamba
Unafikaje Kanisa la Wafalme- Popote ulipo panda gari za Tabata iwe za Kimanga/Segerea&Kinyerezi shuka kituo Tabata Bima Uliza mtaa wa Tenge nyuma ya ofisi za serikali za mitaa utakuwa umefika.
Hapa Nabii akihubiri na kutabiri ibadani
Mchungaji Msaidizi Ester akipokea baraka kutoka kwa Nabii
Mama huyu akishuhudia kile mungu amefanya baada ya kutopata mtoto kwa miaka kumi na tatu (13) kwa MAOMBI ya Mtumishi wa Mungu Gamba amemzaa mtoto huyu ingawa madakitari walisema anatatizo kizazi chake kimelegea
Kijana HUYO kila kiungo ndani ya mwili wake kulikuwa kimehalibika kutokana na mateso ya shetani. maini yalioza, Figo zilishindwa kufanya kazi amelala hospitari kipindi cha mwaka mmoja hakupata uponyaji wakamwandikia kwenda India ila hakwenda kwanio alipata neema ya kufika ibadani na Mungu akamponya
Je shida yako ni nini? futa machozi,usilie BWANA ameona kilio chako mbebeshe yeye fadhaa zako, umechosha na umasikini,umesahaulika,umekataliwa,unaupweke, Njaa, yatima, magonjwa,umeachwa na mmeo au mkeo? Fika NYUMBANI MWA BWANA nawe utapumzishwa kwa hakia Amina ubarikiwe na karibu sana.
No comments